Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya ofisi ya Makamu wa Rais
SHARE
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwasilisha taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, Januari 17, 2023.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji Mhe. David Kihenzile akiongoza kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma
Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (waliokaa nyuma) wakifuatilia kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akitoa ufafanuzi wa hoja wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo