NI KWA JINSI GANI DAWA YA MENO UNAYOTUMIA INACHANGIA KUHARIBU MENO YAKO

Hayo ni maneno yanayoandikwa kwenye dawa za meno nyingi tunazotumia,  sad enough zinaandikwa kwa herufi ndogo sana,  na ni wachache wanaojali kwanini kumeandikwa hivyo, some of you hata hamjui kama kuna maneno hayo.

 

Je  ni wazazi wangapi mnasimamia watoto wenu wakati wakupiga mswaki kuhakikisha hawamezi dawa?

 

Je unajali kuhusu size ya dawa unayoweka kwenye mswaki au unajaza kama kwenye tangazo linavyoonyesha?

 

Maneno hayo hayana tofauti na ONYO kwenye pakti ya sigara,  lakini bado zinapata watumiaji,  ingawa afadhali mtumiaji huyu ni mtu mzima anauwezo wa kuchanganua mambo, vipi kuhusu mtoto anaetumia dawa ya meno yenye chembe chembe hatarishi kwa Afya yake, lakini bila kujua huku akihamasishwa na ladha tamu anaimeza tena wengine wanailamba kama asali?

 

 

HAYA NI BAADHI YA MADHARA YA FLOURIDE

1.Kumeza Flouride kwa kusudi au bahati mbaya kunaweza kusababisha sumu ya fluoride, ambayo inaweza kuathiri afya ya tumbo ambapo inaua Bacteria wazuri wa tumboni, Kuleta athari kwenye figo, mishipa ya damu na kupelekea Hatari ya kupata Kansa ya Tumbo. 

 

2.Flouride pia hudhoofisha meno na kupelekea kuvunjika au kutoboka meno.

 

Unaweza ukawa unajiuliza JE NIFANYEJE ILI NISIENDELEE KUPATA MADHARA ? 

 

Well… Uzuri ni kwamba kuna Dawa ya Meno ALOE VERA TOOTHGEL ambayo ni salama kwa asilimia 100% 

Natural Forevere Living Bright Aloevera Tooth Gel, Toothpaste (130 g), Type Of Packaging: TubeFAIDA ZA ALOE VERA TOOTHGEL

 

1. Fluoride free.

 

2. Ina antibiotic asili ya nyuki (bee propolis) itakayopambana na bacteria wanaozalishwa na mabaki ya chakula.

 

3. Ina Aloe Vera kwaajili ya kutunza,  kuponya na kulinda kinywa changu. Aloe vera pia yenyewe ni antibiotic asili, anti-inflammatory , na inachochea kasi ya uponaji wa fidhi, fidhi kutoa damu,  vidonda vya mdomoni, na meno kufa ganzi.

 

4. Ni salama ukimeza kwakua haina kemikali hatarishi,  na kwakua ina aloe vera nikimeza itaondoa bacteria wabaya tumboni ambao husababisha pia harufu mbaya ya kinywa.

 

5. Ni salama kwa familia nzima,  inafaa kwa vegetarians (wasio kula nyama)  maana haina bidhaa yoyote ya wanyama iliyotumika kutengenezea.

 

Dawa za meno nyingine zinakemikali nyingi sana hatarishi, Hicho hicho kiwango tunachoona kidogo tunatumia wakati wa kupiga mswaki baada ya miaka kadhaa kinazalisha tatizo kubwa zaidi.

 

1. Pamoja ya kwamba fluoride ni muhimu inazuia meno kuoza na kuyafanya imara,  ikizidi inapelekea meno kukosa nguvu, kuwa mepesi na kumeguka.

 

2. Kwenye dawa nyingi za meno wameweka artificial antibiotic ambazo utumiaji wake kwa wingi  na mara kwa mara unapunguza nguvu ya kupambana na bacteria. Hivyo kufanya kinywa kishambuliwe na bacteria wanaozalishwa na mabaki ya chakula.

 

3. Fluoride imetajwa kuwa miongoni mwa kemikali zinazosababisha Saratani.Dr Dean Burk PHD

Fluoride ni muhimu hatuwezi kukataa umuhimu wake,  lakini kutokana na maendeleo ya teknolojia na viwanda kumekua na vyanzo vingi vya kupata fluoride katika mwili ikiwemo maji ya chupa na bomba,   soda na juice, mouth wash nk, ambavyo vinachangia kuwa na fluoride nyingi zaidi mwilini ambayo ni hatari kwa afya.

 

 

Ni vyema kuacha kutumia dawa ya meno yenye fluoride unless umeshauriwa na daktari wa meno (dentist)  maana kuna watu wanaupungufu wa fluoride mwilini hivyo wanahitaji dawa ya meno ya fluoride kuimarisha meno yao.

 

Ili kulinda afya ya kinywa na mwili ni muhimu pia kwa watoto wakiwa wadogo kuacha kutumia dawa ya meno yenye fluoride ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.

 

Kwa mahitaji ya Fluoride free Toothgel wasiliana nami 0745360000

adbanner