Kwa muda mrefu sana nimekua situmii deodorant /Antiperspirant yoyote kwasababu ya madhara niliyokua napata kutokana na deodorant hizo na kunifanya nisiwe mwenye furaha.
Nilikua nikitumia tu Deodorant / Antipesperant za kawaida ngozi yangu ya kwapa inakua kavu sana, napata miwasho na vipele ambavyo vikipona vinasababisha weusi kwapani. Hali hyo ilipelekea niache kabisa kutumia deodorant huku nikiendelea kutafuta ni deodorant ipi itanifaa maana dar es salaam jua ni kali.
Katika kufanya tafiti ya deodorant gani naweza kutumia bila kunisababishia madhara yoyote, nikakutana na Aloe Ever shield Deodorant sticks ambayo nilianza kutumia kwa majaribio tu baada ya kuambiwa ni asili na hakuna vitu ambavyo ni hatarishi vilivyopo kwenye deodorant nyingne tulizozizoea.
Baada ya kuitumia kwa muda wa week moja tu nikaona mabadiliko:
1. Naweza kuipaka baada tu ya kushave na nisipate miwasho.
2. Inaacha ngozi yangu ikiwa smooth bila ukavu
3. Tangu nimeitumia sijapata vipele
4. weusi wa kwapa ukaanza kuisha
Hapo ndo nikapata shauku ya kujua tofauti yake na deodorant za kawaida tulizozoea ni nini?
Ni muhimu kujua vitu vilivyopo kwenye bidha unazotumia kwenye ngozi yako, maana ngozi ni ulinzi wa kwanza dhidi ya vimelea vya magonjwa.
Sifa za Aloe ever shield deodorant stick
1. Haina kemikali hatarishi kwa afya zetu, moja ya kemikali hatarishi iliyopo kwenye deodorant na antiperspirant za kawaida ni Parabens, inayotajwa kuwa moja ya visababishi vya kuongezeka kwa hatari ya kupata saratani.
2.Haina Aluminum salt inayopatikana kweny Antiperspirant ili kuzuia matundu ya ngozi kutoa jasho, hii ikanifanya niwaze je hakuna madhara yanayosababishwa na kuziba njia ya kawaida ya mwili kujitolea taka?
3.Haina alcohol, baadhi ya deodorant na persperant zina alcohol inayofanya ngozi kuwa kavu na kupelekea miwasho, kujikuna kutasababisha vipele na weusi kwapani.
4. Ina chembe chembe za aloe vera, katika kushave/waxing unaweza kujikata au kupata michubuko, aloe vera ambayo ni antibiotic asili, anti-inflammatory inatunza, kulinda ngozi na kuponya ngozi.
Inawezekana ulikua unapata changamoto hizo lakini hukujua tatizo ni nini, ama na wew uliacha kabisa kutumia deodorant, lucky for umepata suluhisho.
Mbali na mimi, niliwahi kuirecommend kwa mtu ambae alikua analalamika akitumia aina moja ya deodorant anajihisi kama amepakwa cement kwapani, baada ya kumpa aijaribu Aloe ever shield deodorant stick matokeo yamekua tofauti, na mpaka sasa hii ndo deodorant anayotumia.
Kwa mahitaji ya deodorant Bonyeza namba kuwasiliana nami 0745360000