

JOTE MEDICS
Anahitajika binti anayeweza kuuza duka la dawa
- Mweye taaluma hiyo.
- Pia awe na uwezo kujua dawa zote
- Awe na uwezo kutoa ushauri kwa mgonjwa
- Awe na uwezo wa kuchoma Sindano.
Mshahara 150,000 /=
Chai, chakula cha mchana na usiku kipo pia sehemu ya kuishi inapatikana
Kwa Mawasiliano Zaidi
0689817482
0693 157 071